nyumba ipo kihonda mazimbu road
bei millioni 7.5 maongezi yapo.
ninaiuza kutokana na kuhamishwa mkoa kikazi na kuwa mbali naamini nitashindwa kuihudumia .
MAWASILIANO-0715026030
Wasalaam, nina kiwango cha sh 400,000 natafuta laptop yenye specificatios hizi RAM 2GB, processor speed 2GHz and Hdd iwe 350GB and above mwenye nayo ani Pm tufanye business faster,shughul njema.
Kitabu hiki kinapatikana pote duniani kupitia Amazon.com na kama E-Book kwa kupitia Kindle
* Toleo hili ni toleo maalum, likiwa na maandishi makubwa - kwa mtu yeyote kuweza kusoma bila kufikicha...
MC mzoefu anaitwa bakari simbeye anapatika kwa shughuli mbalimblai zikiwemo za kiofisi na binafsi kwa kupitia namba hizi hapa:0653-812984/0754-368802. Gharama ni 900,000 pamoja na muziki.
NYUMBA YA ILIYOJENGWA KISASA INAUZWA INA SIFA ZIFUATAZO
Ipo mbezi mwisho barabara ya morogoro
umbali wa mita 60 toka barabara kuu iendayo Morogoro
Ni mpya bado haijakaliwa 90% ya matengezezo...
Gari aina ya Toyota Emina linakodishwa kwa shughuli mbalimbali ndani na nje ya mji wa Dar Es Salaam. Linauwezo wakuchukua watu 7.Gari Litakuwa linakodishwa pamoja na dereva wakati wote. Mteja...
ideos android 2.2 version, used ipo katika hali nzuri na haina tatizo la aina yoyote inapatikana kwa sh.80,000, na Samsung galaxy nexus mpya kabisa kwenye box lake kwa sh. 600,000.
Unfinished house having four bedrooms, one master in a plot of 1981 square meters, in good location near tarmac road, good clear access road, is available for sale at Mbezi Beach. This house has...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.