Msaada pls! PADS ZA KUBANDIKA KUONYESHA BEI, WAPI?

Mpeni sifa Yesu

JF-Expert Member
May 23, 2010
649
0
WAHESHIMIWA SANA, nilikuwa naomba kama kuna mtu anayefahamu mahala popote ninapoweza kununua writing pads fulani hivi, ni tudogo huwa ni twa kubandika kuonyesha bei ya bidhaa, wapi nitapata au wapi wanachapisha tafadhali? au nitapataje?

ukienda supermarket iwe mini au kubwa, kwenye bidhaa zake zote utakuta walishabandika bei zake kwenye vidude fulani hivi ambavyo vimechapishwa bei zake. ninahitaji sana hivyo vitu kwaajili ya kubandika kwenye bidhaa zangu, kama kuna mtu anauza au anajua wapi nitapata tafadhali naomba anisaidie ni wapi. Asanteni sana.
 

ATA

Member
Oct 12, 2011
84
95
Mkuu, zinaitwa PRICE TAG, nenda maduka makubwa ya stationary kama Masumin printways ulizia utapata.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom