Nyumba Mbezi Tatedo unfinished

Nyumba Mbezi Tatedo unfinished

Kajuki J

Member
Joined
May 18, 2012
Posts
33
Reaction score
3
Nyumba kwenye plot 23*25 bedrooms 4 master kubwa ukumbi mkubwa jiko,store dinning inauzwa Mbezi Juu jirani na Tatedo bei 40m mwenye interest ani PM naambatanisha picha
 

Attachments

  • Photo0015.jpg
    Photo0015.jpg
    30.8 KB · Views: 180
Haya mkuu..tumeiona hiyo Nyumba..haina dalali hiyo kweli/mtu wa kati?
 
Mkuu @Kajuki J

Weka picha zaidi Mkuu, tuone na Majirani tunaopkana nao. ni Muhimi maana nyumba si Jengo na Mazingira. Ila haina Udalali hiyo mkuu mbona bei ya Kuruka sana
 
Mkuu @Kajuki J

Weka picha zaidi Mkuu, tuone na Majirani tunaopkana nao. ni Muhimi maana nyumba si Jengo na Mazingira. Ila haina Udalali hiyo mkuu mbona bei ya Kuruka sana

Ukiipenda maelewano yapo hamna udalali mkuu nitaongeza picha baadae ni good neighbourhood
 
Pandisha kidogo mkuu tufanye biashara naenda site jioni nitakuletea picha zaidi simtank iko nyumba ya nyuma sio yangu
 
kama wewe ndo mmiliki, utajali kusema kwa nini unaiuza?

Ha ha haa..........ila wengi hapa wanaangalia jengo pekee bila kuangalia thamani ya ardhi...anyway ngoja nikaonane na faza hausi wangu leo jioni.......hii muziki ndefu kwangu
 
Ni nyumba nzuri iliyojengwa na fundi makini,lakini punguza bei kidogo!
 
Hicho kiwanja ni squater au cha kupimwa? Hapo ilipo kuna barabara inayopita mbele ya nyumba? Ni umbali gani toka barabara kubwa? Currently hayo maeneo nikihitaji site nitapata kwa kiasi gani? Nipe vigezo vya kuanzia 40M kwenye boma.
 
Mbona kama iko barabarani mkuu,wengine hatutaki kugombana na magufuli
 
Ni Squater lkn area nzuri majirani wamepima barabara mbele ya nyumba ukihitaji kiwanja ni 15 to 20m
 
Business matters mtaji umekata mkuu ukinikopesha 10m kwa resonable interest against this colateral sitauza
 
Business matters mtaji umekata mkuu ukinikopesha 10m kwa resonable interest against this colateral sitauza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom