Kiwanja kipo mita 20 toka baharini kinatizamana na geti la Hospitali Kuu ya Wilaya ya Bagamoyo, vinatenganishwa na barabara, kinafaa sana kwa biashara ya duka kubwa la dawa, jumla na rejareja...
www.asaliwamoyo.co.tz
Asali wa moyo - Mtandao wa Urafiki na Mahusiano kwa Kiswahili.
Asali wa moyo ni mtandao unaokuwezesha kutafuta marafiki na mwenza wako kwa njia ya mtandao. Lengo kubwa la...
Natafuta nyumba nzuri ya kupanga yenye compound shared maximum wapangaji 3 wenye heshima na familia ndogo au ya peke yake yenye uzio pia na parking safi...iwe na vyumba vya kulala viwili (kimoja...
Natafuta kiwanja ambacho kiko sehemu nzuri na kiwe na hati ambacho bei yake isizidi milion 6
wapendwa nitashukuru
hata kama hakipo maeneo tajwa hapo juu lakini kipo eneo zuri nitafikiria baada ya...
Wandugu, nina stationery shop USA River - Arusha na nataka kuanza kuuza cartons za photocopy papers kwani nimeona upo uhitaji mkubwa toka kwa wateja wangu. Badala ya kununua ream moja moja...
Inaitajika 12 million kwa mark ii
Inaitajika 27 million kwa Rav 4.
Gari zote ziko katika hali nzuri.(just imported)
Mazungumzo ni sehemu ya biashara.
piga/tuma ujumbe > 0762193767
Salama wadau,..
Opa inauzwa na ipo katika hali nzuri (imported)
Dau 11 million
Maongezi yanakaribishwa kwa mnunuzi mwenye nia.
Piga/tuma ujumbe > 0762193767.
karibuni nyote nauza vifaranga mbegu ya australia na malawi wale kuku wakubwa sana,kifaranga kimoja ni 2000.Ni rahisi kuwafuga na maelezo mazuri nitakupa kuwakinga na maradhi na vyakula vizuri vya...
Kiwanja kipo km 30 kutoka mbagala
ni njia iendayo kusini mwa tz,,
nauza mill 1.3 maelewano yapo
kina hati ya serikali ya kijiji
ni robo ekari kipo nusu km kutoka barabara kuu iendayo rufij na...
Shamba lipo Mlandizi, Bagamoyo road, shamba lina mikorosho, minazi na miembe, lina ukubwa wa ekari 15, gari linafika mpaka shamba lipo karibu na makazi ya watu mawasiliano 0717000990/0764434673 au...
htc one x special edition for beats by dr dre,it is brand new in box with beats by dr dre earphone,charger for charging,usb wire,crystal case,screen protector and sim card ejector.am selling this...
Habari
Natafuta nyumba chakavu in Dar ambayo iko barabarani kwenye mzunguko waa watu wengi ambapo unaweza kufungua biashara, Chaa msingi iwe sehemu Nzuri ambapo badae unaweza kujenga naa kuweka...