Opa opa opa (red )

Opa opa opa (red )

cicatrix

Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
58
Reaction score
3
Salama wadau,..
Opa inauzwa na ipo katika hali nzuri (imported)

Dau 11 million

Maongezi yanakaribishwa kwa mnunuzi mwenye nia.

Piga/tuma ujumbe > 0762193767.
 

Attachments

  • IMAG0073-1.jpg
    IMAG0073-1.jpg
    188.4 KB · Views: 97
hiyo rangi mkuu so, mie mnaz wa bonde la maji
 
Tukiachana na yote hayo ya bei na rangi, sema engine yake ni D4 au siyo. Naomba uweke na picha ya engine kabisa ili kuondoa utata ndiyo tuanze maongezi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom