undugukazi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 315
- 82
Natafuta nyumba nzuri ya kupanga yenye compound shared maximum wapangaji 3 wenye heshima na familia ndogo au ya peke yake yenye uzio pia na parking safi...iwe na vyumba vya kulala viwili (kimoja Masters).