Biashara ya duka la dawa

Biashara ya duka la dawa

salimkabora

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,441
Reaction score
653
Kiwanja kipo mita 20 toka baharini kinatizamana na geti la Hospitali Kuu ya Wilaya ya Bagamoyo, vinatenganishwa na barabara, kinafaa sana kwa biashara ya duka kubwa la dawa, jumla na rejareja. Kina offer na ukubwa wa sq.mt. 800 na bei ni Ths milioni 16 tu. Mawasiliano simu no. 0786 021840.
 
Back
Top Bottom