Tovuti ya mahusiano & urafiki Tz

asaliwamoyo

New Member
Dec 7, 2012
1
0
asaliwamoyo.jpg


www.asaliwamoyo.co.tzAsali wa moyo - Mtandao wa Urafiki na Mahusiano kwa Kiswahili.

Asali wa moyo ni mtandao unaokuwezesha kutafuta marafiki na mwenza wako kwa njia ya mtandao. Lengo kubwa la Asali wa Moyo ni kuwapa nafasi watu makini kuweza kutafuta wenza wao kwa urahisi zaidi.

Ikumbukwe kuwa, walengwa wa asali wa moyo ni watu walio makini ambao wanakuja hapa kutafuta wenza wao hivyo timu nzima ya asali ya moyo itahakikisha mila, desturi na maadili ya mtanzania yanazingatiwa.

Je wewe ni mtu makini, njoo asali wa Moyo kumpata mwenza wako.

Offer: Kwa wote watakaojiunga kuanzia December 7 hadi January 7 watapata nafasi ya kuwa Premium Member kwa miezi miwili.
 

Easyway

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
2,606
3,680
haya ni matangazo ya biashara ambayo inabidi ulipie,watu wengi wanatangaza matangazo yao JF bure, inasikitisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom