nyumba inahitajika

mor112

Member
Mar 6, 2010
16
0
Habari

Natafuta nyumba chakavu in Dar ambayo iko barabarani kwenye mzunguko waa watu wengi ambapo unaweza kufungua biashara, Chaa msingi iwe sehemu Nzuri ambapo badae unaweza kujenga naa kuweka frames zaa vyumba naa kukodisha ama kufanya biashara mwenyewe.

Budget yangu ni up to 40mil.

Shukrani
 

Jangakuu

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
515
225
Habari

Natafuta nyumba chakavu in Dar ambayo iko barabarani kwenye mzunguko waa watu wengi ambapo unaweza kufungua biashara, Chaa msingi iwe sehemu Nzuri ambapo badae unaweza kujenga naa kuweka frames zaa vyumba naa kukodisha ama kufanya biashara mwenyewe.

Budget yangu ni up to 40mil.

Shukranikaka hiyo ni bei ya nyumba kweli dar katikati ya jiji,hata kiwanja hupati, anzi emu 1oo,labda
 

mor112

Member
Mar 6, 2010
16
0
kaka hiyo ni bei ya nyumba kweli dar katikati ya jiji,hata kiwanja hupati, anzi emu 1oo,labdaKaka Sijasema Katikati yaa Jiji, Inaweza kuwa near the centre, kama mbagala, tabata, namaaanisha nyumba mbovu mbovu, nnachojali sana ni kiwanja sehemu nzuri kwenye main road, I know property is very expensive in Dar but I am looking for somewhere where there is a potential for growth in the future. , Ushauri wowote constructive unakaribishwa.
 

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,446
1,250
nimechukua number yako. nyumba zipo mwananyamala mchangani, mbagara kuna moja ipo barabarani kabisa inataka 38, nadhani itakufaa ipo mbagara mzambarauni . pia kuna nyumba chakavu zipo kinondoni, labda niambie ni sehemu gani hasa unailenga lakini nyumba zipo mkuu utapata . 0657 1455555
 

Poxino

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
730
170
uko siriaz au asiala nimekwambia nicheki naona kumya o712690760
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom