Wakuu nilikuwa na kuku wa nyama (wa kisasa) 500 nimeuza wamebaki 150.bei yangu ni Tsh 4500 each.Wanauzito wa wastani si wadogo (Sijapima uzito wao).kama unahitaji ni pm au piga no.0763953759...
Huwezi amini lakini ndio hivyo tena,kwa wale wenye pesa zao na wanahitaji kupamba vyumba vyao kwa kuweka kapeti ktk ukuta basi tupo kwa ajili yenu,bei zetu ni nzuri usisite kuwasiliana nasi...
Habari,
Natafuta housemate
Nimepata nyumba kijitonyama, mtaa wa kakobe (mtaa 1 kabla ya barabara ya Africa sana - K'nyama) mita 100 kutoka barabara ya science- mtogole...natafuta housemate...
Jumba lipo Temeke, Mbagara maji matitu lina sifa zifuatazo
km 2 toka barabarani na km 22 toka posta mpya kumbuka ujenzi wa barabara ya kisasa unaendelea
umeme maji vipo
chini tiles juu qypsum...
Ninahitaji corolla spacio new model haraka sana.Cha msingi gari iwe kwenye hali nzuri na offer yangu haizidi 9M.Kama unayo wasiliana nami kwa namba zifuatazo:0714652377 au 0768224663.
wakuu habari,nina vyombo vyote vinavyohusu biashara ya chips,nipo dar na vyombo vyenyewe vpo dar,vitu ni kama kabati,majiko mawili moja la pumba lngne la mkaa,na jngne la kuchomea mishkaki,pamoja...
Tangaza Marketing Solutions(TMS):
Ni Kampuni inayojihusisha na Advertising,Marketing & Promotions:
Pia ni wakala wa Renew Earth Technology(RET) kwa ajili ya kutoa huduma ya ulinzi wa simu na...
Habari ya saa hii wana JF,
Aisee mi natafuta trekta complete yaani ikiwa na tela na jembe. Nlipita suma jkt wakaniambia mzigo umekwisha hadi february. Wadau kwa anaejua wapi zinauzwa mpya au used...
Ninahitaji haraka spacio new model yenye hali ya kuridhisha.Nipo serious kabisa na offer yangu haizidi 9M.Kama unayo wasiliana nami kwa namba zifuatazo:0714652377 au 0768224663.
Ninatafuta wafasiri wa lugha za Shona<>Kiingereza, Ndebele<>Kiingereza na Oromo<>Kiingereza, yaani kutoka na kwenda Kiingereza.
Ikiwa wewe unaelewa angalau moja ya lugha hizo na/au kama unamjua...
Nahitaji fundi wa kunifanyia wiring kwenye kanyumba kangu kapo salasala, kama wewe ni fundi wa umeme au kama unafahamu fundi mzuri wa umeme tafadhili niambie au niPM contanct zako/zake
Wadau ninauza set ya vifaa vya mazoezi vya body building ambavyo ni locally made ila ni vya chuma,,vifaa hivyo ni BARBELL yenye plate 6 (each plate ina uzito wa kilo 1O),DUMBELLS-set moja za kilo...
Natafuta machine za kutengeneza mikate,mpya au zilizotumika.
1:Oven ya umeme au gas.
2:mashine ya kukanda unga.
3:mashine ya kukata mikate.
4:Na kama zipo tools za aina nyingine za...
mkaa mzuri unapatikana gongo la mboto kwa bei cheeee. kiroba cha kilo 25 kwa tshs. 12,000 tu na kiroba cha kilo 100 kwa tshs.35,000 tu BILA USAFIRI. UNAJITEGEMEA USAFIRI. Namba ya simu0717039283
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.