dalali wa nhc

dalali wa nhc

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,855
Natafuta dalali anayehusika na nyumba za NHC kama nikipata maeneo ya upanga au popote karibia na posta
 
Kwani hizo si za serikali nadhani dalali hahusiki maana serikali si ilishakomesha ulanguzi tokea enzi za marehemu Sokoine
 
Back
Top Bottom