Ipad 2 mpyaaa

Ipad 2 mpyaaa

andycachy

Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
83
Reaction score
18
Wadau nina IPAD 2 mpyaaa ndani ya box ina kila kitu from UK bei 1.6 M
 
Kwa hiyo bei huenda utampata kwa aliyetoka Mbamba Bay leo hii kuingia hapa jijini
 
iPad 2 kwa 1.6M? Haujafahamu unauza nini, fanya research Mkuu. iPad 3 16Gb ni 0.9-1.1M!
 
Kaletewa zawadi ya xmas af ye anauza ata bei yake ajui polesana umewamba, unatafta hela ya bata la xmas,uwongo!?
 
Back
Top Bottom