Nauza simu yangu Nokia 7230

Nauza simu yangu Nokia 7230

chaUkucha

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
3,382
Reaction score
1,221
Nokia 7230 original imetumika kidogo nipeni offer..
 
kama unamaanisha 50,000/= ngoja nisubiri wengine japo offer yako sio mbaya ndo ulichonacho.......
 
100,000/= nauza simu nokia 7230 3G
 
simu ni almost new na haina tatizo lolote nauza tu vile na shida na mpunga na sikukuu ile, ila chini ya 100,000= siuzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom