Msaada

Msaada

twijuke

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
547
Reaction score
252
Wapendwa wana jamii, kuna eneo lipo BUNJU A. nahitaji kulinunua, lakini anae hitaji kuniuzia amejitaja kama ndg wa BALALI, Msaada ninao uhtaji ni kupata mawasiliano ya watoto au mke wa BALALI ili kujilidhisha kama halina mahusiano na famili hiyo ni nunue.
 
Kwanini huyo ndugu wa BALALI asikupe mawasiliano ya watoto au mke wa BALALI?
 
Anauza shs ngapi kwanza tujue? Ili tujue pa kuanzia kukusaidia
 
Back
Top Bottom