Nyumba hii inauzwa

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
209
Nyumba ya vyumba 4 kimoja master
ina sitting room, Public toilet, Jiko , stoo , Juu imewekwa gypsum, chini tiles.
Umeme upo , maji ya kisima, maji ya bomba yapo nyumba ya jirani ni suala la kuunga
kiwanja ni kikubwa kina sqm 1,300 na kimepimwa kina hati
Nyumba ipo mbagara maji matitu. ni km 2 kutoka barabara iendayo chamazi
inauzwa Tsh 85m. ( inasungumzika )
Tuwasiliane: 0657 145555 & 0755 099 291
DSC06247.JPG DSC06249.JPG DSC06256.JPG DSC06268.JPG DSC06269.JPG
 
Sababu yakuuza nyumba hiyo ninini mkuu Akiri maana si haba tupe ukweli ili tujipange
 
Last edited by a moderator:
Nakukubali sana Akiri kwenye sector hizo!!! Ila madali wanapiga hela sana nakumbuka kuna dalali m1 alimtafutia kiwanja mzungu,alichofanya dalali alienda yeye kwanza akawakusanya wakazi wa maeneo yale akawlipa hela yake ya mfukoni ambayo kama mil150 hivi kesho yake akaja na mzungu akavuta mil450,nawakunali sana madalali achana na hawa njaa kwenda hata kuangalia shamba anakuchaji hela ya mafuta!!! Madalali wa kisasa ananunua yeye issue halafu anaiuza!!
 
Last edited by a moderator:
sababu za kuuza nyumba ni nin mkuu?
Wewe Sababu ya kutaka Kuinunua Nini?? Watu wengine bwana. Do your homework. Kama Una hela fungua biashara... Sio kukebehi watu humu. Kama Huna Cha kuandika Sio lazima Upost hapa....
NB: Umeshawahi Kusikia Property Developers?? That is Business.
 
Sababu yakuuza nyumba hiyo ninini mkuu Akiri maana si haba tupe ukweli ili tujipange
uchumi umeyumba kiongozi , kama utaangalia vema hizo picha utaona jamaa kashindwa kufanya finishing ya uhakika , jamaa anayumba ingine ipo chamazi anataka ahamie huko halafu hiyo ifanye mambo mengine, ( kuna watu nawafahamu huwa hawakopi pesa benk wanajenga kisha wanauza < ondoa shaka njoo mezani tufanye biashara
 
Nyumba ya vyumba 4 kimoja master
ina sitting room, Public toilet, Jiko , stoo , Juu imewekwa gypsum, chini tiles.
Umeme upo , maji ya kisima, maji ya bomba yapo nyumba ya jirani ni suala la kuunga
kiwanja ni kikubwa kina sqm 1,300 na kimepimwa kina hati
Nyumba ipo mbagara maji matitu. ni km 2 kutoka barabara iendayo chamazi
inauzwa Tsh 85m. ( inasungumzika )
Tuwasiliane: 0657 145555 & 0755 099 291
View attachment 74311 View attachment 74312 View attachment 74313 View attachment 74314 View attachment 74315
Asante sana Akiri, naona leo umekuja na tangazo zuri na umeliboresha kidogo. Maji matitu ni kilometre ngapi hadi Dar City Centre (yaani mjini). Maana nyumba yenyewe tena ni kilometre 2 toka barabara ya Chamazi!!!! Hiyo bei mbona ni kubwa sana kwa maeneo hayo Akiri? Nikiangalia nyumba sijui finishing yake ni namna gani sana (ubora wa materials etc) kwa hiyo bei inaua!! Japo umesema maongezi yapo!!! Kuna maeneo ukijenga nyumba kama ni nzuri sana huwezi kupata bei kubwa na maeneo mengine gofu tu ni bei ya kuua mtu!!! Kwa maji matitu mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh. Kama una za karibu kidog sema!!
 
Mimi ni mtu wa kati , na mmiliki wa nyumba yupo ukiwa tayari njoo ukaone nyumba useme bei gani utatoa , kutoka maji matitu mpaka posta mpya labda ni 18km, nyumba za karibu zipo mkuu sasa sijui karibu wapi ?
 
katika maeneo haya watu wengi wanajenga nyumba na kuziuza , sasa unaweza pata nyumba kuanzia 30m mpaka 100m na nyumba hizo ni mpya na zina kila kitu ,
 
Mimi ni mtu wa kati , na mmiliki wa nyumba yupo ukiwa tayari njoo ukaone nyumba useme bei gani utatoa , kutoka maji matitu mpaka posta mpya labda ni 18km, nyumba za karibu zipo mkuu sasa sijui karibu wapi ?
Asante mkuu. Kwa maji matitu hapana. Ila maeneo kama Kijichi au Mbagala Kuu ile ya ustaarabuni vipi?
 
Mtoni kijichi zipo na mbagara kuu zipo naomba niambie budget yako na ni lini unahitaji maana kijichi zipo nyumba kama 4 hv 2 ni za beach hizi 2 zingine ziko maeneo ambayo sio beach , naomba niamba niambie budget yako na aina ya nyumba uitakayo kisha nitakujibu au ni pm,
 
Mkuu najua utakuwa unafahamu bei ya hizi ulizosema hapa. Hebu taja bei kwa kila moja kuanzia hizo za beach na nyinginezo.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom