Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

MITA 23*20 2.8MILION, 25*20 2.99MILION VIKOTAMBARARE, NA VYOTE VINAFIKIKA KWA GARI. piga: 0713316188
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii ni moja ya Camera ambayo inasifika na hutumika sana hasa wanaoendesha shughuli za habari kwenye studio's.Quality picture yake ni nzuri sana.Nitawaletea spec's zake baadae na ipo njiani kutokea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni PM tuongee biashara. Ziwe bei chee
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Mixer iliyotumika Uingereza kubwa kiasi labda kutosheleza kiroba cha unga inauzwa milioni 3.5.Ipo dukani Ilala na kwa maelezo zaidi au kuiona tafadhali piga namba hizi...0773027777 au 0717810318
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jiko linauzwa milioni 3 limetumika na lipo katika hali nzuri.Jiko hili linatumia Gesi lakini vilevile linahitaji umeme kwa ajili ya kuwashia tu yaani swichi yake inatumia umeme lakini matumizi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
SAMSUNG BRAND Samsung Galaxy note 2 for (Black Used) ...........................................1,000,000/= Samsung Galaxy note 1 for (White...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuku wa Kienyeji wakubwa wanapatikana kwa 12,000 tu, ukitaka mzima au aliyechinjwa vyote tunafanya, unaweza kutoa oda yako kupitia 0717-066624 au katika mtandao wetu bid or buy - Tanzania Furahia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nauza computa hp flat sceen pentium m imetumia miezi8 iko safi sana orignal ipo sawa na zinazotumika crdb benki natoa garantii mwaka mzima bei laki 3 mawasiliano email lufisakumtoni@yahoo.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza mayai ya blue yanayotibu kisukari presha na magonjwa ya moyo pia mjasiriamali anatakaiwa kufuga hawa kuku mayai yake ni gali sana huuzwa mpk 5000/= number yangu ni 0757662401
0 Reactions
31 Replies
8K Views
computa inauzwa hp desktop hp pentium m flatsceen iko kwenye hali nzuri sana galantii natoa mwaka moja mi nimetumia miezi6 tu bei yakuuzia laki3 mawasiliano yakunipata e-mail magovela90@yahoo.com...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
nawahitaji walili wasiwe wadogo........umri chini ya miezi minne ningewapendelea zaidi...kwa atakae kuwa nao tuwasiliane kwa namba ifuatayo kuzungumzia namna biashara inavyoweza kufanyika na bei...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Niwapi dar wanaprint majina kwny jez za timu na bei zao zikoje?
0 Reactions
2 Replies
862 Views
hey wana jf nawakaribisha katika blog yangu ya fashion ambayo ni www.africanamitindo.blogspot.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haloo wana jm nahitaji simu iliyotumika(used) galaxy s2 kwa yeyote anayeuza
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu poleni na majukumu, nina swali kidogo hivi kwa mil 60 ninaweza kuagiza range rover sport from uk...? Nikimaanisha mpaka kulipia kodi kila kitu.....inaweza kutosha ?......nisaidieni wakuu
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Jamani ninabiashara ya mafuta ya ubuyu ila masoko yanasumbua nisaidien
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta ipad 3 inayo sapoti wifi na 4G....Pia natafuta mac book air... kama una hizi bidhaa ni pm
0 Reactions
0 Replies
882 Views
galaxy s1 4 sale bei 350 tu
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Haloo wana jm natafuta simu iliyotumika (used) samsung galaxy s2
0 Reactions
3 Replies
926 Views
Ndugu zangu naomba msaada wenu wapi naweza kupata baiskeli ya kumsaidia mgonjwa ambaye hawezi kutembea baada ya kuvunjiku mguu. Ninaihitaji kwa haraka sana. Mwenye kufahamu inakopatikana naomba...
0 Reactions
2 Replies
963 Views
Back
Top Bottom