maslulkat Arusha Technical College wana mpango wa kuwaendeleza kinadada waliosoma masomo ya Sayansi; kabla hujachagua chuo chochote tafuta habari zao.Nina dada angu amemaliza kidato cha nne amepata 4 ya 26 anampango wa kwenda tech anataka electrical and biomedical engineering aende ipi jaman
maslulkat Arusha Technical College wana mpango wa kuwaendeleza kinadada waliosoma masomo ya Sayansi; kabla hujachagua chuo chochote tafuta habari zao.
Wasiliana na mkuu wa chuo kwa email hii rmasika@gmail.com au principal@atc.ac.tz Hilo la kozi ipi achukue mpe muda dada yako ashauriane na wengine