Anatakiwa bodyguard mwenye leseni

Anatakiwa bodyguard mwenye leseni

Duh. bodyguard mwenye leseni na chuma?...mmh hiyo ni Tzania au Kongo? Tusubiri JF ni kila kitu
 
Nina mgeni mfanya biashara kutoka ulaya anakuja Tz hivi karibuni, kaniulizia kama anaweza kupata bodyguard mwenye leseni na silaha. Sijawahi kusikia hii kitu Tz so kama unafahamu nielekeze.....
Mgeni wako anaongea lugha gani? Kuna jamaa yangu hapa ni mczech yeye ni pro body guard ana leseni na ninaweza kumpatia silaha hapa bongo ili afanye kazi hiyo tatizo ni lugha tu jamaa yangu hapandishi ung'eng'e
 
Huyu atamfaa sana

mganga.jpg
 
jaribu kuazima wale wa mzee pale ikulu.ila sina uhakika kama na wao wana leseni.
 
Nina mgeni mfanya biashara kutoka ulaya anakuja Tz hivi karibuni, kaniulizia kama anaweza kupata bodyguard mwenye leseni na silaha. Sijawahi kusikia hii kitu Tz so kama unafahamu nielekeze.....
Nakuwekea PM mkuu!
 
Mgeni wako anaongea lugha gani? Kuna jamaa yangu hapa ni mczech yeye ni pro body guard ana leseni na ninaweza kumpatia silaha hapa bongo ili afanye kazi hiyo tatizo ni lugha tu jamaa yangu hapandishi ung'eng'e

anaongea kiingereza, kifaransa na kijerumani kidogo
 
Nina mgeni mfanya biashara kutoka ulaya anakuja Tz hivi karibuni, kaniulizia kama anaweza kupata bodyguard mwenye leseni na silaha. Sijawahi kusikia hii kitu Tz so kama unafahamu nielekeze.....
Bila shaka wewe ndiye mwenyeji wa huyo mgeni,cha msingi chukua vielelezo vyote vya mgeni wako,andika na barua kwa ofisi ya usalama taifa kuomba hayo anayotaka mgeni wako ukieleza sababu za kuomba bodyguard then utapewa kupitia serikali.Hiyo inawezekana kabisa ondoa shaka.
 
iko wapi?
 
Barua usalama wa taifa? CHAI CHUNGU unajua unachokiongea?
 
Last edited by a moderator:

Mybe kiswahili kinanishinda au lah,nina maana awasiliane na usalama wa taifa akiwa na maelezo ya kutosha juu ya mgeni wake,awe na copy ya barua ya mwaliko aliyomtumia mgeni wake,bila kusahahu sababu za kutaka bodyguard then wao watajua nini cha kumsaidia!
 
Last edited by a moderator:
nenda kwenye makampuni makubwa ya security yanatoa huduma za bodygurds wenye silaha! pamoja na escort! sana wacheki security group na kenya kazi (kk security) pamoja na group 4 security
 
Mybe kiswahili kinanishinda au lah,nina maana awasiliane na usalama wa taifa akiwa na maelezo ya kutosha juu ya mgeni wake,awe na copy ya barua ya mwaliko aliyomtumia mgeni wake,bila kusahahu sababu za kutaka bodyguard then wao watajua nini cha kumsaidia!

Hao Usalama wa taifa wenyewe hawaa miniki wakijua eti ni mfanya biashara na una cash tutakukuta kule kwenye ule msitu wetu​
 
Nina mgeni mfanya biashara kutoka ulaya anakuja Tz hivi karibuni, kaniulizia kama anaweza kupata bodyguard mwenye leseni na silaha. Sijawahi kusikia hii kitu Tz so kama unafahamu nielekeze.....
Jaribu kwa G4S pia, kuna mtu aliwahi kuniambia wanaprovide body guards, suala la leseni sina uhakika nalo.

[h=2]G4S Security Services (T) Ltd[/h]Plot No. 57
Uporoto Street
Ursino Estate
Dar es Salaam
Tanzania
Tel: +255 (0) 222761006
Email: jacqui.bothma@tz.g4s.com
Sales
Tel: +255 (0) 222761006
sales@tz.g4s.com
[h=2][/h]
 
wadau mlio ni-PM asanteni zenu kwa ujumla. Mmenisaidia sana, naamini mgeni wangu atapata ulinzi anaohitaji.
 
Back
Top Bottom