Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari ndugu zangu, Kuna utafiti naufanya hapa Tanzania kuhusu kuboresha na kujua undani wa vyuo vya ufundi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na vifuatavyo; 1. Vyuo vya Hotel Management 2. Vyuo vya...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nyumba ya vyumba ya kupanga inapatikana, vyumba viwili vya kulala, sebule, dinning, jiko, choo na bafu. Tuwasiliane kwa namba 0712 477976, ulizia geoffrey.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu humu jf:nauza vifaa vyangu vya kazi yangu inayo niweka mjini ya uganga kama utanunua jumla basi nitakuongezea misukule mitatu kama nyongeza! Kuna ilizi 8 nyekundu pembe ya nyoka...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
"Huko Waliko" ni kipindi kipya cha TV kinachopikwa tayari kuja kwenye luninga yako siku za karibuni. Lengo la kipindi ni kuelimisha na kujulisha yale ambayo Watanzania wanaoishi ughaibuni...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Habari za leo wandugu? Wataalamu wa mambo ya roofing materials hasa mabati mliomo katika jukwaa hili la 'Great Thinkers', naomba mnisaidie mambo yafuatayo; 1. Nitapata wapi mbao za kenchi 2...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
New Genuine Windows 7 Professional DVD na Office 2010 DVD zinauzwa @150,000 Each + Installation and Activation Free Contact : 0766507080
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Habari, Wanajamii nlikua nataka kununua Bajaj mpya ila nataka kulipa kwa Instalments,kwanza naanza kwa 2Million then laki 5 kila mwezi mpaka deni linaisha.ila nahitaji Bajaj mpya.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
natafuta universal moderm kwa bei chee. Mwenye nae anichek 0713807758
0 Reactions
2 Replies
1K Views
iwe mpya au used. inayoweza kutumika migodini hasa migodi midogo ya dhahabu,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nahitaji mkopo wa shilingi milioni mbili, kama kuna mtu yupo tayari kunisaidia tafadhali tuwasiliane kupitia 0714021078 tuweze kuongea zaidi na kufikia makubaliano na mambo ya msingi... tafadhali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Gari ainaya toyota forturner inauzwa ni ya mwaka 2008 ni manual inatumia disel imported from south africa bado haijasajiliwa, bei ml 35 interested customer pls contact me 0714560921
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hi members Naomba mnijuze mahali wanauza mitumba first class nataka nunua pliz help in box me. Kinjekitleh
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Modem ya airtel inauzwa...inakubal pia voda....Tsh.17,000 only mwanza.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
natafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka mkuranga mie nipo tandahimba mtwara 0782375646
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Kwa kutumia simu tu, sasa unaweza kufahamu mpenzi wako alipo muda wowote, pia unaweza kuangalia alipokuwepo muda wowote wa miezi 3 iliyopita. Na yeye hawezi kujua kama una-monitor locations zake...
2 Reactions
58 Replies
5K Views
BlackBerry Bold 9700 for 270,000 only Samsung Galaxy S2 for 300,000 only. Contact me through activeforce91@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Plot inauzwa yenye ukubwa wa square meter 1540, ipo maeneo ya sinza kumekucha opposite lion hotel. Now inatumika kama garage, na hamna structure yoyote iliyojengwa,suitable for a hall,hotel or...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
natafuta housing ya samsung C6625. Fasta na cash ipo. Nicheck 0713807758
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Natafuta nyumba ya kupanga iwe na fensi vyumba vyakulala 3,na master lazima.iwe maeneo ya tegeta ama boko
0 Reactions
4 Replies
1K Views
You have bought products or services before and in turn you have talked about the products or services to friends and relative who went and bought the products, by doing this you caused extra...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom