ngoja amalizie kushughurikia vibao vya namba!!!Sasa utauzaje bila bei?
Sasa utauzaje bila bei?
imeingia tarehe 10/3 nilipitishia zanzibarImeingia jijini lini? Usije kutuletea kibao chenye T---ABT mkuu
Asante nipe 11.5 mkuu kila kitu nimefanya bado na bima nimeweka .6.5 utakuala au unafika wapi?
ha!ha! kweli mkuungoja amalizie kushughurikia vibao vya namba!!!