Nyumba ya kupanga jijini Arusha

Nyumba ya kupanga jijini Arusha

Xidian

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
503
Reaction score
149
Habari wana JF!
Kuna nyumba inapangishwa jijini Arusha.
Nyumba hiyo ni mpya kabisa, ikiwa na vyumba viwili vya kulala(kimoja masterbed room), sitting room, dinning room, kitchen, public toilet .
pamoja na maji na umeme wa uhakika.
Nyumba iko na fensi na geti la uhakika.
location :MOshono
bei ya kupanga : 250,000/= kwa mwezi
utatakiwa kulipa walau miezi 6 ila maongezi yapo.
Karibuni
 
Kuna nyumba inapangishwa jijini Arusha.
Nyumba hiyo ni mpya kabisa, ikiwa na vyumba viwili vya kulala(kimoja masterbed room), sitting room, dinning room, kitchen, public toilet .
pamoja na maji na umeme wa uhakika.
Nyumba iko na fensi na geti la uhakika.
location :MOshono
bei ya kupanga : 250,000/= kwa mwezi
 
mimi nina nyumba napangisha ipo sanawari ya juu ni 2 bed room, sitting room, kichen, store, toilet, bathroom soon itakuwa fenced na ipo karibu na barabara kubwa ice zinapatikana kwa usafiri wa haraka kodi ni 200,000/= nitafute 0789 - 543 339/0762- 879195
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom