Shamba- ekari 20 kwa mil 15-kisarawe

Shamba- ekari 20 kwa mil 15-kisarawe

Joined
Mar 5, 2012
Posts
90
Reaction score
23
1. Shamba la ekari 20 linauzwa lipo visegese kisarawe- ni km 7 toka kisarawe mjini. Bei ni Mil 15 kwa hizo ekari 20. Kuna mto unapita shambani panafaa pia kwa kilimo cha umwagiliaji.


2. Pia kuna Kigamboni, eneo la gezaulole; mashamba ni mengi ekari moja kwa mil 2.


Kwa mawasilinao piga 0784 419030 utapata maelezo zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom