Tunauza GPS kwa bei nafuu sana

Tunauza GPS kwa bei nafuu sana

Mkuu hebu fafanua hizo GPS zinafanya vipi kazi, na kama ni tofauti na zilizoko kwenye Simu, make GPS zinaonyesha location uliopo, Ila huwezi zitumia kumtafuta mtu mahali alipo, make ni tofauti na system wanayo tumia hawa Car truck,

So eleza kama hizo ni tofauti na zilizopo kwenye simu na ni tofauti na ninazo zijua mimi ambazo nisha zitumia sana
 
Swali la msingi sana mkuu
 
Back
Top Bottom