Ushuru wa toyota noah

Ushuru wa toyota noah

vivios

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
244
Reaction score
9
Naomba kujuzwa ushuru wa noah old model ya mwaka 1999 na1998.
Na pia naomba kujua lowest price ya noah old model katika yard hapa dsm.asante
 
niliingiza ya mwaka 99 nikalipa ushuru milioni 4.3
 
Back
Top Bottom