Mtanganyika
JF-Expert Member
- Jul 18, 2007
- 1,601
- 945
Wakubwa,
Nauza Marine sheet kama 100 na mbao. Marine nimezitumia kumwagia jamvi la juu kwenye kajumba kangu Tegeta. Kama unaitaji nitumie msg. Nauza bei ya kutupa, half of the price. 30,000 kwa sheet moja. Kama utachukua zote leta 28,000 per peace.
Mbao nina za aina mbali mbali nazo nauza bei ya kuku.