Ndugu wana jf ninahitaji container kama yale ya kubebea mizigo bandarini lenye urefu wa ft 20. liwe linapatikana katika mkoa wa Dar es Salaam ili kurahisisha usafiri. Bandarini yanauzwa lkn bei ipo juu kidogo. Kama unalo au unamfahamu mwenye nalo nifahamishe au nipigie simu 0713 727676. Natanguliza shukrani!