Wanajanvi naombeni msaada kwenu nina madini aina ya kasheshe lakin sijui
soko nitapata wapi wanunuzi wa madini ya Aina hii hivyo naleta kwenu wanajamvi
plz... plz.... nisaidieni
waweza nicheki kwa namba
0786466056
madini gani hayo tena? hayana jina la ki-englishi? weka picha!Wanajanvi naombeni msaada kwenu nina madini aina ya kasheshe lakin sijui
soko nitapata wapi wanunuzi wa madini ya Aina hii hivyo naleta kwenu wanajamvi
plz... plz.... nisaidieni
waweza nicheki kwa namba
0786466056
Kasheshe
yanatumika kufanyia nini?
Mi mwenyewe ndo nayaskia leo, kutokana na jina lake nadhani yatakuwa yanatumika kuanzisha VARANGATI yaani kukinukisha....
jamani madini ya kasheshe yanapatikana pamoja na dhaabu yenyewe yanaaaza ndipo dhaabu inafuta yapo meusi mno
hapo vipi mmenipata