Nyumba nzima ya kupanga inatafutwa.

Nyumba nzima ya kupanga inatafutwa.

Joined
Oct 29, 2012
Posts
86
Reaction score
4
Nyumba nzima ya kupanga inatafutwa.

MAENEO: maeneo yoyote ya Temeke, Dar es salaam, ama nje kidogo ya wilaya ya Temeke.

SIFA: Iwe ina choo cha ndani, iwe na marumaru ndani ya nyumba nzima, iwe imezungushiwa fensi.

BEI: Nyumba isizidi laki 2 na elfu ishirini kwa mwezi.

MAWASILIANO: Wasiliana na mhusika kwa 0653422776.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom