New samsung galaxy note II

New samsung galaxy note II

dongbei

Senior Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
158
Reaction score
147
Ndugu naomba mwenye kujua bei ya simu hii ni tsh ngapi !

Aksanteni sana.
 
Mm nakuuzia kwa 950000. Used like brand new. Imported from SA.
 
Poa chinga, nimekupata. Ni pm no yako tuchonge zaidi
 
Me nauza yangu 850k. Imetumika 3 months iko kwenye condition nzuri sana...no scratches
Aksante mkuu, nilitaka jua bei maana kwa sasa nipo china na around tar 5 mwezi ujao nitakuja bongo sasa nilitaka nije nazo kidogo niziuze maana huku bei yake ipo cheap kidogo so nadhani kuna faida kidogo, kama kunamtu atahtaj tuwasiliane kwa PM then tutapeane mawasiliano zaidi!!
 
nimewaelewa ndugu zangu wote kwa michango yenu. Sasa mimi nipo china na mwezi ujao aroundi tarehe 5 nakuja bongo, endapo kuna mtu anataka hiyo simu kwa bei cheap around nusu ya pesa ya huko, coz huku unaweza pate kwa tsh 400000/= hadi 380000/= , tuwasiliane zaidi kwa pm, then tutapeana contact zaidi!!

Thanks.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom