Kwa wale wezangu na mimi. ambao kazi zao nyingi wanazifanya katika mazingira ya nje (kwa maana ya maeneo ya vumbi, maji kama vile migodini, baharini ama watu wamichezo. wamahitaji smartphone...
Wadau songea naomba nisaidien kutafuta banda la biashara.hii yote ni kwa sababu tanaka kurudi nyumba ili nifanye mambo huko nyumban .Thanks in advance kaka,dada,shangazi,binamu
Habari wakuu,nina hii product,specification zake ni;10-11HOURS of CHARGE,SIM CARD SLOT which support all sim i.e built in 3G MODEM,Intel Atom 1.6ghz,120gb hdd,1gb ram+2gb external...
Wakuu,
Nipo Zanzibar kwa shughuli binafsi mpaka jumanne tarehe 28 may nitakaporudi Dar. Katika pitapita zangu madukani hapa nimekutana na flat screen tv inch 24 kwa bei rahisi sana, inauzwa...
SOLD*******SOLD********SOLD
Nauza Suzuki Carry Truck yenye specs zifuatazo;
Registration Year / Month: 1995/07
Odometer: 79,309 km
Displacement: 660 cc
Steering: Right
Transmission: Manual
Fuel...
natafuta wafanyakazi wazoefu ambao wako tayari kujitolea kuuza machine za EFD yaani mashine za tra za kutolea
risiti kwa wafanyabiashara mbali mbali .....sifa za wauzaji au sales office hawa wawe...
Ndugu Wanabodi,
Kama kuna yeyote miongoni mwenu anayefanya biashara ya samaki aina ya SATO na SANGARA wa jumla kwa ajili ya Wafanyabiashara wa rejareja wenye viosks hapa Dar, tafadhali ani-PM...
Lipo Mbezi Msumi Kilomita sita kutoka Mbezi Lous Morogoro Road lina miembe na nyumba nzuri ya kufugia yenye ukubwa wa 240m2(sq.m)yaweza kubadilishwa na kuwa nyumba ya kupanga...
Brand new samsung st66 camera zinauzwa,zina 16.4 megapixels,3" screen,zinachukuchukua hd moview, zoom 5x digital zoom ,rechargeble battery,n.k Camera za ukweli kutoka UK mwenye kuhitaji inbox...
Wadau kama kichwa cha habari kinavyo someka hapo, kitu kipo mkononi na tena ndani ya box.
Bei Tshs. 700,000.
Lakini kwa wenye uhitaji wa galaxy S used ipo kwa Tshs. 300,000.
Hi all,
mambo zenu, nauza Computer yangu..[system unit] 2gb RAM (can be extended) na HDD 320gb(can be extended also), Core i3 CPU,nSeries High Performance Unit...bado mpya kabisa..imetumika 2...
Habari wakubwa wangu wa kazi, nauza vitu vifuatavyo na ni imported kutoka ughaibuni na nakupatia 1 year warranty kwa kila kifaa utachonunua kwangu.
1. Samsung UN46D8000 46-Inch 3D LED TV, TZS 2.5...
Mark:Toyota
Model: MarkII GX100
Year of manufacture:1999
Engine capacity: 1988cc
Mileage: 108400km
Imesajiliwa Tanzania April 2009 kwa sasa gari ipo ARUSHA (Monduli). Kwa sasa bado naendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.