wapi wanatengeneza milango mizuri ya metal plates kwa dar?

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,530
13,467
Kama hii, huku niliko tunaitoa Bujumbura lakini of recently mafundi wachomeleaji wa huku wameanza tengeneza sasa sioni kama inalipa kusafirisha kutoka huku wakati materials (iron bars, iron plates and glass) zote zatoka Dar.
IMAG0086.jpg IMAG0089.jpg
 
Hongera sana rafiki......
ngoja watakuja wataalamu hapa utapata majibu....
JF ni mambo yote
 
Its a very good idea/innovation. Badala ya kuwa na mlango wa mbao halafu unahangaika kuweka grill tena! Cha muhimu ni kupata fundi mwenye workmanship nzuri tu na aliye tayari kufikiri/kujaribu zaidi.
 
I hope so, ila nafikiri mafundi wa grill wowote ukimpelekea picha na maelekezo anaweza itengeneza. otherwise naweza kusafirisha tu; maana bei za mafundi huku ni much cheaper than Dar.
 
yes it is, mimi naipenda sana kwakweli kiasi kwamba nataka nibandue ya mbao ili nifix hiyo.
 
I hope so, ila nafikiri mafundi wa grill wowote ukimpelekea picha na maelekezo anaweza itengeneza. otherwise naweza kusafirisha tu; maana bei za mafundi huku ni much cheaper than Dar.
ni kweli....
ukipata na mimi niambie rafiki.
Au kama hutapata Dar tunaweza tengenezea huko then tukasafirisha kwa pamoja.
Tutajadili kiundani zaidi PM
 
msinitenge kwenye hili wapendwa but mm nimewaza hivi kwani Kaunga huwez kuipiga picha na ndani kisha tukaipeleka kwa fundi wazuri wa grill??
 
Last edited by a moderator:

Nitafanya rafiki, ngoja tusubirie halafu nitacompare bei na kufanya maamuzi. Ila kwa mlango huo huku ni sh 250,000/= so bila kioo nafikiri itakuwa 200,000 pekee usafiri sijajua so tutawasiliana tu rafiki.
 
poa, ngoja tusubirie wataalamu
 
msinitenge kwenye hili wapendwa but mm nimewaza hivi kwani Kaunga huwez kuipiga picha na ndani kisha tukaipeleka kwa fundi wazuri wa grill??

Ngoja nifanye hivyo and then nitakutumia halafu ukawasikilizie bei, ili kama inakuwa juu sana basi tunachongea huku na kusafirisha ya wote.
 
Nitafanya rafiki, ngoja tusubirie halafu nitacompare bei na kufanya maamuzi. Ila kwa mlango huo huku ni sh 250,000/= so bila kioo nafikiri itakuwa 200,000 pekee usafiri sijajua so tutawasiliana tu rafiki.

nashukuru rafiki ngoja na mie nifanye utafiti wa soko la kibongo nione likoje.
 
Milango ya metal lates ni mizuri sana na pia inaleta show nzuri katika nyumba.

Ila mie siko dar ila wapo watu wengi wa Dar ambao naamini watakupa maelekezo mazuri.

Pia kuna kilirushwa na EATV kinaitwa UJENZI, kuna siku kilizungumzia kuhusu materials zote zinazotengenezwa na metal plates, kuklikuwa na aina tofauti tofauti za milango, madirisha, vitanda, coach.

Nimejaribu kuvuta kumbukumbu kwamba kilifanyika lini ili nikiweke hapa but nimeshindwa.
Ila naamini utapata tu lolz.
 
Aingie kwenye website ya eatv kuna record atapata ya hiyo kipind ya UJENZI.
 
Nadhani faida ya mlango wa chuma ni kuepuka mchwa( kwa maeneo yenye mchwa), haina maana kuimarisha mlango lakini ukuta umeujenga kwa tofali dhaifu(mfuko mmoja tofali 50 hadi 60) mwizi ataona bora achimbe ukuta.
 
Nitafanya rafiki, ngoja tusubirie halafu nitacompare bei na kufanya maamuzi. Ila kwa mlango huo huku ni sh 250,000/= so bila kioo nafikiri itakuwa 200,000 pekee usafiri sijajua so tutawasiliana tu rafiki.
nafikiri pale kwa Komba Mbezi beach karibu na Oilcom kuna mafundi wanajiita wa Kigoma wanaweza itengeneza hiyo milango kwani wanatengeneza milango ya mbao yenye nakshi ya vioo kwa umahiri mkubwa,naamini ukiwapelekea hao wataweza ila bei mmmm
 
::

Loo! Kaunga pole sana but I hope utapata mie nipo mbali na network
U khali gani lakini
=
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom