Simu za Tecno!!...

Simu za Tecno!!...

BJ.Sahani

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
220
Reaction score
33
Habari wadau JF,
Ningependa kuuliza,eti simu za tecno(eg.tecno n3,tecno d5,tecno n7) ni original ama ni fake?
 
Original,mfano tecno n3 inauzwa dola 55 had 60 huko dunian,huku lak na nusu.
 
tecno zinatengenezwa na kampuni ya Hongkong na Hongkong wana vitu quality tatizo wale wachina wa bara ndio waigizaji wakubwa na ndio kuna uwezekano wa kuwepo feki,wachina wanaiga hadi prototype za ndege za kivita kutoka Urusi sembuse Tecno?
 
Back
Top Bottom