MASHINE NDOGO YA KUSAGA NA KUKOBOA (2 in 1) mahindi, mpunga, viungo vikavu nk
Mashine MPYA
Bei 1,500,000/=
Mashine ipo DAR
●Mashine ina pande mbili, upande mmoja ni wa kusaga na upande wa pili...
NAUZA DUKA LENYE VIFAA VYA WATOTO
DUKA LINA KILA AINA YA VIFAA VYA WATOTO NALIUZA (diapers, mafuta, toys, nguo, baby walkers, mabeseni, vitanda, midoli, chupa, n.k) LOTE KAMA LILIVYO DUKA LIPO...
Habarini Wakuu
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Nahitaji msaada wa Mwalimu wa tuition MWENYE UZOEFU kwa Mwanafunzi wa kike wa darasa la 4.
Awe anaweza kufika Mbweni Malindi/JKT, Dar es Salaam...
Nikiamkabidhi mteja trekta aina ya Lovol Hp 75 4WD aliyoinunua kupitia mkopo wa zana za kilimo NMB MBULU Manyara,
Mteja huyu kapata trekta yake ndani ya wiki mbili tangu aanze taratibu za kuomba...
Nauza printer in a miezi 2 tu bado mpya kabsa ndo nimeinunua juzi tu nilikuwa naitumia matumizi binafsi sio biashara.
Nimepatwa na shida sasa naiuza kwa bei nafuu kabisa 390 mwsho.
location...
Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidogo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya...
1.NAUZA NEC PROJECTOR
MODEL V 260
MADE 2015
IMPORTED FROM UK
REFURBUSHED
LENZ HOURS 3000
PICHA 30 INCH HADI 150 HD
INA VGA,SVIDEO ,VIDEO , AUX
BEI NI TSH 300,000
LOCATION ROCK CITY
2 EPSON...
Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi.
Best Price for Suck of Sunflower meal or Seeds.
Mashudu ya mafuta ya alizeti ni chakula cha...
Habari Wana JF.
Wakuu nimeleta mashine za kilo 7 za kufulia, aina ni Dnyker, high quality brand kutoka China ikifanya mauzo vizuri sana bara la Ulaya (Europe)
Zina uwezo wa kufua, kusuuza na...
Habari nauza viatu sio virefu sana wala vifupi sana, vimevalika mara moja tu, vinapatikana Dar-es-salaam. Bei ni 20,000/ size ni 37 kubwa hata 38 anavaa.
Karibuni
Ninahitaji kiwanja maeneo ya Tegeta, Madale.
Ukubwa: sqm 450-500.
Budget: 15m.
Nitafurahi sana kama ntapata kutoka kwa mmiliki mwenyewe na kisiwe na migogoro.
Mwenye nacho naomba ani PM
Habarini Wana JamiiForums,
Natafuta battery ya Laptop tajwa hapo juu, nikipata Mpya au used yenye ubora pia ni sawa tu.
Aliyekuwa nayo tuwasiliane hapa chap tufanye biashara.
Picha ya laptop na...
Nauza machine ya katungeneza kahawa , capuccino etc. Inaweza kutumika ofisini , nyumbani, au hata kwenye biashara kuuzia chai na kahawa.
Machine iko automatic na inaweza kukupa hesabu ya vikombe...
Kama uko Tabora na unauza tv inch 32 niambie nataka ilio tumika nataka kwa leo au kesho nitajie bei na aina ya tv na sehemu ulipo na pia kama una picha itapendeza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.