@ FIMBO SANA [emoji112] BAKORA
ON SALE (DXN)
Price 13.8MLS
TOYOTA IST
KALI SANA
Engine 2NZ
Engine 129CC
Low mialage 49000
Rim sports
Full ac
New tyre
Clean sana
0783299186 0r 0716095123
EXCHANGE...
TUNAONGEZA AU KUFUNGA MFUMO WA GAS AU MAFUTA YA TAA KWENYE MASHINE ZA KUTOTORESHEA AMBAZO ZINATUMIA UMEME KAMA MFUMO MKUU AU "BACK-UP"
Kwa mahitaji ya kubadilishiwa au kuongezewa mfumo wa kutumia...
Samahani wadau,nina shida ya mkopo kwa dhamana ya nyumba haijaisha yote lakini na pia nina sales agreement tu ya kiwanja maana hati miliki bado ipo kwenye mchakato..msaada
Kuna picha na video za mlevi mmoja zina trend sana kwenye social networks..
Videos zina mchora jamaa kama mlevi ambae akikosa pombe anaugua.
Jamaa mwenyewe ndio huyo hapo pichani
Is it for real...
Habari!
Nahitaji gari aina ya:
1. Runx, au
2. Allex, au
3. Spacio
Kwa budget tajwa hapo Juu. Namba kuanzia C na kupanda Juu.
Tuma picha WhatsApp tu: 0656142433
Habari wana jamii
Kiwanja kinapatikana wilaya ya ilala, maeneo ya Kitunda (Magole)
Ukubwa ni Sqm 400 (meter 20 kwa 20)
Umbali kutoka barabara kuu ya gari.
Ndani ya kiwanja kuna pagala la vyumba...
Utangulizi
Soko mahalia ni jumla ya shughuli za kununua na kuuza viwanja, mashamba na majengo ndani ya eneo husika. Soko mahalia la wilaya ya Mbeya mjini hutofautiana na wilaya yoyote iliyo nyanda...
Hii bahati sio ya kuiacha. Hatimae baada ya kukwama kifedha nimeamua kutangaza nauza viwanja vyangu, nina eneo lina ekari nne(4), nauza kwa eka! Bei ya ekari moja ni milioni 6 tu!
Eneo lipo...
Wanajamii wenzangu wa JamiiForums,
Nimeunganishiwa deal ya kupeleka viatu vya Kimasai Ivory Coast na ndugu yangu wa ki Tanzania anayekaa na kufanya kazi kule.
Ombi langu kwenu, mwenye kujua...
Mashine ya Diagnosis Launch Golo Pro
Inapima Gari ndogo, Malori, electric cars, Excavators na mitambo mingine,
Special functions zaidi ya 30
Active test
Immobilizer and Key Programming...
Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya moto, TV, Computer, n.k..
Zina sifa zifuatazo.
1. Ina uwezo wa kuzima chombo kwa kutumia simu yako.
2. Ina Live location na live tracking...
Hii mashine ni nzuri sana na sifa ya kipekee kuhusu hii mashine ni kwamba inakuwa reference table upande wa nyuma hivyo kumuwezesha mtu yoyote hata ambaye ni layman kuweza kupima battery yoyote na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.