Tunauza Mifumo ya ulinzi na usalama ya kisasa

middo lulyheart

JF-Expert Member
Mar 18, 2014
260
98
Habari gani wana jamvi wote humu.
Nimekuwa nikiulizwa juu ya Teknolojia hizi za kiulinzi katika maeneo yetu ya biashara na makazi. Nimekuja Jamvini kama ilivyokawaida ya Jamvi letu moja ya sifa yake kuu huku ni kupeana elimu na Updates, basi kwa heshima naomba kufungua chapisho hili na kwa yeyote mwenye swali juu ya mifumo yoyote ya Teknolojia kama vile...CCTV CAMERA, FENSI ZA UMEME, GETI ZA RIMOTI, VITASA VYA ALAMA ZA VIDOLE, na chochote kuhusiana na hivi tutakuwa tunajibia humu humu.
.
Linda Ofisi yako, Nyumba yako na Hata mifugo yako kwa Teknolojia za kisasa.

Kwa Tsh. 22,000/ unapata complete Electric Fence kwa Meter.

Tsh. 850,000/ unapata Full Set ya Camera 4 za CCTV

Tsh. 1,280,000/ unapata Full set ya Camera 4 za IP

Tsh. 1,550,000/ unapata Full Set ya Smart Gate Motor.

Tsh. 500,000/ unapata Full Set ya Door Bell Video Intercom.

Tsh. 1,200,000/ unapata complete Licenced Time & Attendance System.

Tsh. 1,200,000/ unapata complete Door Access Control System.
.
NB:: GHARAMA ZINAJUMUISHA MATERIALS NA UFUNDI.
.
Instagram:: mr_security_system

Mawasiliano::
______________+255657496629View attachment 2801570View attachment 2801573View attachment 2801569
1536904268-IMG-20231019-WA0004.jpg
View attachment 2801571View attachment 2801572
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom