Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nyumba ilioishia kwenye linta ipo Kitunda Relini jirani na Kanisa la Lutherani inauzwa, inahitajika kumaliziwa kwa upauwaji tu, bei yake ni shilingi 12,000,000. Kwa mawasiliano piga namba 0788883962.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna Nyumba nzuri ya kawaida yenye vyumba 3 na sebule na eneo la ziada lakini haina umeme ipo Ukonga Bombambili inauzwa shilingi 15,000,000. Kwa mawasiliano piga namba 0788883962.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa yeyote anaehitaji spare za pajero ilipata ajali ilitembelea kipaa tukaamua kuikatakata kwa hiyo kama unapajero yako umeipaki kwasababu umekosa spare labda turbo,engine,gear box,diff...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wapenzi wasomaji... Naleta kwenu habari ya mjini kipenzi cha watu Altezza Gita rangi ya silver from Japan.... Ushindwe wewe tuuuuu... Km 97,000 aaahaaa full utamu..!! DVD player full movie kuona &...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu, tafathali naomba mnisaide kunielekeza vijiji vya singida ambavyo vinakuaga na minada vya mara kwa mara ili niweze kupeleka bishara zangu,naomba pie mnieleze ni siku gani...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
habari wadau natafuta taa za mbele(kubwa) za gari aina nissan cube msaada please
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Camera 5 megapixel, storage 8 GB..text 0685072527..maelezo mengine google..inauzwa handset tu..simu ipo kwenye hali fresh snaps hizo hapo..inapatikana DSM..
0 Reactions
0 Replies
965 Views
8 GB Adata flash disk - 13,000 Order NOW thank me later: Call 0658663325
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari zenu wakuu? naombeni msaada nataka nianze maisha sasa kwaio nahitaji kiwanja. Maeneo tajwa na maeneo mengine ambayo bei iko nzuri. bei yoyote tuu lakin isizidi mil 6. kama una deal au...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Samsung Galaxy S4 (Tsh 1m) na S3 (Tsh 750,000) mpya kwenye Boxes zinauzwaaa. U can PM me if ua interested, warranty mpaka Unaibiwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gari inauzwa TZS 8 mil Make: Toyota Phone Number: +255 717 522 964 Model: Nadia Email: danrimedr@gmail.com Model...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna nyumba ipo Ukonga Mazizini yenye vyumba 4, ina umeme na imejengwa kisasa. Bei yake ni shilingi 30,000,000. Kwa mawasiliano piga namba 0788 883962.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni pm wkuu...... +255 756 412 337
0 Reactions
0 Replies
665 Views
habari wadau, natafuta taa za gari (NISSAN cube)za mbele kubwa msaada tafadhali
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MITSUBISHI L200 4LIFE, MANUFATURED IN 1999....JUST IMPORTED TODAY 17/07/2013 FROM THE UK, DUTY PAID, COMES WITH BLUE AND SILVER, 2.5cc TURBO DIESEL, MANUAL TRANSMISSION, DOUBLE CAB WITH MATCHING...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi kuweni makini sana na wanaotangaza kuuzwa kwa mashamba nk, majuzi nilienda mwanza, nilipofika mwanza nikapelekwa sehemu ambako nilitaka kununua kama heka5 za shamba maana sehemu yenyewe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Shamba la ekari 6 linauzwa maneromango lipo karibu na barabara. Bei ni milini 6. Unaweza kulima karibu mazao yote kuanzia mahindi, karanga, matikiti, ngano, alizeti nk. Unaweza kupiga au kunitext...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau nina bidhaa ya UNGA WA UBUYU, natafuta soko, ninao unga wa kutosha na bado naendelea kuuzalisha, mwenye kuhitaji awasiliane nami kwa namba zifuatazo 0712700280/0766550881. Napatikana Dodoma...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Wakuu, Kuna shamba la ekari 100 linauzwa katika kijiji cha kidomole karibu na itakapojengwa bandari mpya bagamoyo. Ukihitaji kwa ekari ni laki 5 tu na ukinunua kuanzia ekari 20 bei inapungua...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
wakuu nimetafuta ol most maduka yote ya vifaa vya computer head phone zinaitwa ucom please if any one anajua wapi naweza kupata anijulishe tafadhari
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Back
Top Bottom