Compaq CQ58 Laptop Inauzwa Laki Saba tu (700,000)
Imetumika kidogo sana (Kwa matumizi ya Adobe CS6 zaidi), inakuja na box lake na kila kitu kilichonunuliwa nayo.
Inakaa na battery masaa matano...
baraka solar specialist ni private company ambayo inajihusisha na maswala ya umeme wa jua,ukizingatia asilimia kubwa ya nchi yetu haijafikiwa na umeme wa grid ya taifa hivo tumeona sio vibaya...
Jipatie laptop aina ya Compaq yenye specifications zifuatazo
Harddisc 80GB
RAM 2GB
SPEED 1.8
Laptop ni nzuri sana na utaipenda ukiiona mwenyewe
kila kitu safi isipokua battery inachukua dak 15...
This can't be real. Are you giving free money?
No, we are not giving away free money. We are paying you in order togenerate traffic to our website. We will get paidfrom our advertisers...
Salaam wakuu, im looking for a project car, preferably a 1956 Ford F100 Pickup, Inatakiwa iwe haijaliwa na kutu, ikiwa na parts zake nyingi itakuwa vizuri zaidi. Bei Maelewano.
Pia kama una gari...
Nyumba inauzwa ya bedroom nne mitaa ya Njiro container, Arusha. Mtaa wa nyuma ya stand ya container. Inahitaji matengenezo kiasi ila unaweza ishi.
bei ni 81M (81,000,000)
Kwa mawasiliano piga...
Nyumba inauzwa ya bedroom nne mitaa ya Njiro container, Arusha. Mtaa wa nyuma ya stand ya container. Inahitaji matengenezo kiasi ila unaweza ishi.
bei ni 81M (81,000,000)
Kwa mawasiliano piga...
Salama wakuu?
Nahitaji kununua satellite dish na decoder nzuri ambazo zitanifaa kwa mikoa ya kanda ya ziwa.
Bei na ubora vizingatiwe. Twafadhari.
Natanguliza shukrani.
Sent from my BlackBerry...
kutana na house designers wataalam na wazoefu.. wanatumia teknologia ya kisasa ikiwemo 3d.. jipatie ramani ya jumba ya ndoto yako kwa bei nafuu
mawasiliano 0714 155854
IPAD 4 BLACK, 64 GB, WIFI ONLY,USED FOR 3 WEEKS INAUZWA 1 600 000. Hii Ipad ni original kabisa imenunuliwa marekani na imewasili TZ on 7 july 2013, jamaa anaiuza kwa sababu amepata matatizo na...
nilikua napitia ktk web ya be foward,nimeona nikaipenda rav 4 ya mwaka 2000 automatic, odo ni km 74000. Gharama hadi kufika dar ni usd 5,777 ambayo ni total cost(insurance na clearence) nikipiga...
Biblia za kusikiliza kwa Kiswahili
PATA Biblia , Agano Jipya kwa njia ya maigizo ya kusikia katika Kiswahili ni toleo pekee la Biblia ya kusikia liliyo na takriban wahusika 180 tofauti pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.