SUZUKI SWIFT na VITZ ZINAITAJIKA...

SUZUKI SWIFT na VITZ ZINAITAJIKA...

stymo

Senior Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
118
Reaction score
15
:help: Naitaji Suzuki Swift na mwenzangu mmoja anaitaji Vits, zilizokwenye hali nzuri na info za service zilizofanyika itakuwa addition point. Bei ya kiujamaa nina budget ninayojua inatosha kabisa ila kama kawa usitake kukomoa.

Nipe deal, linalovutia nitakupigia simu hatua zingine zifuate,,.:A S-key:
 
ni vyema mkaweka bei zenu wazi huwezi jua na wengine tunaweza kuhitaji
 
Back
Top Bottom