Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ipo kwenyekiwanja cha mita 20 kwa 30. Ina vyumba 3 vya kulala. ina sebule,Dining room,Jiko,Choo ch ndani na Choo cha nje nabafu. Bado kuezekwa na finishing zingine. umeme upo karibu IPO KITUNDA...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nyumba iwe ya vyumba vitatu mpaka vinne,self contained,na pia iwe maeneo ya survey,brajec mpaka ardhi. Ahsante
0 Reactions
2 Replies
861 Views
Nauza nokia lumia 820, nahitaji laki 5, kwa atakaye kuwa tayar awasiliane nami kupitia, 0659606000
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nyumba ipo dar kivule karibu na shule ya kivule ina nyumba viwili na ina vyumba vitatu vya biashara yaani frem zilizopo bararani ina uwnja wa kutosha kujenga tena bei ni mill 15(maelewano) eneo ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
VIKO GOBA MATOSA UKUBWA MITA 20*20 MILION 3, 25*20 MILION 3.5 VIKO KARIBU NA HUDUMA ZA KIJAMII WAHI VIKO VICHACHE. kwa taarifa zaidi piga 0715055577/0769055577
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wajaman ndugu zangu natafuta cm aina ya blackberry used kwa kiasi cha laki tatu.!!
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari ya jioni wakuu, Judi niliiweka kwenye charge simu yangu iPhone 4S na nikalala, after 5 hours nikaamka ikawa very hot na imezima. Kila nikiwasha inagoma mpaka sasa, naomba msaada wa nini cha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nauza Nokia Lumia 610, nimetumia miezi 2 tuu. Nataka laki 3.5. Anayetaka aniPM, simu iko dar
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Nyumba imefikia kwenye lenter, ina vyumba 5 vya kulala, kimoja kikiwa ni Master Bedroom. Ipo Chanika Msumbiji, kando ya barabara kuu ya daladala. Viwanja vimepimwa. Ukubwa 25 x 30. Bei ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ukubwa 40m*40m,bei 50milioni.Kipo barabarani,maongezi yapo.Wanaotaka nyumba salasala ipo ya vyumba vitatu,sebule na choo ndani.Size ya uwanja wa nyumba ni 35m*47m,bei 80milioni,gari inafika.0754...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
CD za ps2 zinapatikana kwa bei nafuu wasiliana nami kwenye simu namba 0654777405 E-mail ebcazorla@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Camera Zingine zinauzwa...Kama Title inavyo Sema Camera Zote Mbili Kwa Lak.Mbili Tuu!! Yani 2 For 2 Camera Used Ya aina Panasonic Lumix Yenye 14.1MP 5X Optical Zoom!! Na...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Samsung galaxy s2 inauzwa nyeusi. Imetumika kiasi...16gb internal, 8megapixel camera...bei 450000 kwa mawasiliano 0719004668
1 Reactions
10 Replies
3K Views
HABARI ZENU WADAU.. Nyumba imara inauzwa ipo eneo la Mbagala Charambe, Ina vyumba vitatu, choo cha ndani ki1 na bafu 1, master ina store ndogo na choo chake, ina jiko la ndani na store store...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ipo Mabibo Mwisho Jonans vyumba 3 na sebule. Bei 37,000,000
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani mwenye kujua bei ya hiyo gari aniambie natanguliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni orijino. Ipo katika hali nzuri. Bei 190,000.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama umeipenda piga simu tuzungumze 0755 946 905 /0715 946 905. Picha zimeambatanishwa kwa kuona.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nipigie 0754-856277.Pia maeneo ya wazo-Makamba
0 Reactions
2 Replies
1K Views
GET YOUR KEY AND DRIVE cheAPEST PRICE SALE!!!SALE!!!SALE!!! Make:Toyota Type:Rav4 J(New Model) Year:2000 Distance:67000 km Transmission:Automatic fuel:Petrol Others:power mirror,power...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom