PLAYSTATION 2 CONSOLES ZINAUZWA (jailbreaked)

Bukayo jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
2,782
Reaction score
1,647
HABARINI WANA JF

Playstation 2 consoles zilizotengenezwa kutumia flash disk zinapatikana, baada ya kuwa zimewekewa chip kwenye system yake na kuweza ku boot games za iso bila kutumia CD za ps2..tunafahamu kuwa PS2 console nyingi hasa zinazotoka china zina uwezo wa kukaa miezi kama 3 maximum kwa kutumia CD na baada ya hapo zinakufa Lens sasa hakuna haja tena ya kuwaza matumizi ya CD we ni flash disk tu na kuinjoy games,pia Consoles zinazotoka ULAYA (PAL) na America (NTSC) original zinachakachuliwa na kutumia flash badala ya kuangaika na CD original za bei mbaya...

bei ya console moja ni 150,000 bila accessories kama controllers,memory card na flash disk..ukiiitaji vyote pamoja na accesories ni PM tuzungumze bei na games tunakuwekea kwa choice yako mwenyewe

NB: kumbuka Console hizi zinaweza kucheza Games bila kuwepo hata sacket nzima ya lens na pia nzuri kwa biashara na matumizi ya nyumbani kwa wale wanaopenda gaming

Mwenye kuhitaji Ani PM au simu 0763925535
 
me ps 2 yangu inatumia CD nikihitaji uniwekee mfumo wa flash disk unachaji sh ngapi?
 
nafanya uwekaji wa game kwenye flash na pia nauza program hiyo kwa matumizi binafsi au ya kibiashara.program 30000 pamoja na maelekezo jns ya kutumia kuweka game 5000 ntafute no. yangu 0659626782
 
me ps 2 yangu inatumia CD nikihitaji uniwekee mfumo wa flash disk unachaji sh ngapi?

kabla hujawekewa games kwenye flash unatakiwa iwekewe chip ndani kwenye console na hyo tunachaji Elfu 50 kwa console moja
 
Nitakutafuta mkuu ngoja nijichange mimi ndio biashara zangu hhizo.controller moja ya ps 2 aina ya sonyy utaniuzia sh ngapi ki jf zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom