Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

sudy mlela

Member
Joined
Jul 15, 2013
Posts
35
Reaction score
5
Kiwanja kinauzwa kwa bei rahisi, kipo kibaha kwa mathias near open university, kina ukubwa wa ekari 4 na kipo karibu na barabara.. bei 15 million, kwa anayehitaji tuwasiliane 0713 542400
 
15m?? Hizi figure mnatoa wapi jamaniiiiii. Good luck
 
wana jf mi nina maeneo makubwa tu ya kutosha chanika anayehitaji ani pm tuzungumze bei nzuri na maeneo mazuri
 
tuwasiliane then ukalione ukiridhika nalo tuweze fanya biashara@ amani..
 
Back
Top Bottom