Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

tunauza kiwanja chetu kikubwa wastani goba kwa shilingi million 18 tu. kimepimwa NA kiko karibu NA barabara. ukitaka kukiona inaruhusiwa wakati wowote. utajiridhisha kwa namna yoyote NA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
vifaa vya salon vinauzwa,dryer 3 kila moja ni sh laki moja na nusu,wasiliana nami 0657690970,vinapatikana tabata bima.
0 Reactions
0 Replies
834 Views
StanBic utaratibu mlio weka mwezi huu unatutesa. tunalala njaa , check inaletwa tarehe 18 ili wafanyakazi tarehe 21 tuwe tumepata mshahara mpaka sasa mshahara bado, wengine hatuna pesa. mnasema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
friji aina ya west point linauzwa,bei ni sh laki tano,liko maeneo ya tabata bima,kwa mawasiliano piga 0657-690 970
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 3081 kilichopo Block “F” eneo la Mwangaza Dodoma jirani na reli usawa wa Martin Luther School kwa bei ya Sh. 8,000,000/= (terms 33yrs). Eneo hili lipo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu natafuta kioo cha dell inspiron N5040,kama kunamwanajamvi anacho au anafaham vinapopatikana anitafute kwa namba hii 0719779990
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Nyumba inauzwa. Ipo Chanika Msumbiji karibu na barabara kuu ya daladala. Kiwanja kina ukubwa wa 25 kwa 16 na pia kina hati ya Serikali ya mtaa. Nyumba hiyo haijakamilika ipo kwenye lenta. Bei Sh...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu natafuta Land Cruiser pick up ya kununua mwenye nayo tafadhari tufanye biashara. Mawasiliano 0715246399.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu gari ka mpya mteja alitoa japan katumia miaka miwili tu inafaa biashara tax pm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiko Mbutu Kata ya Somangila Kigamboni Kilomita 26 kutoka feri ukubwa miguu 90 kwa 40. The property was legally acquired through willing seller and buyer. Sihitaji dalali wala bond its Cash non...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Viwanja Viwili vinauzwa haraka Eneo la Kwembe Kati ili Vijana Waende Vyuoni. Cha kwanza ni Saizi 42 x 32 Bei niShs Millioni 15, Cha Pili ni Saizi 25 x 50 bei ni shs 14 Millioni. Hiki...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
ANY SERIOUS SELLER ANICHEK 0786790942,BUDGET 1.4Mill, niko Tanga
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji hiyo tab haraka wakuu...me nipo Arusha,iwe katika hali nzuri na I we nyeupe au nyeusi...mwenye nayo aweke picha details na bei hapa au anipm...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau natumaini hamjambo, kuna haya mafunzo ya pekee sana tumepanga kuyatoa maalum kwa vijana na wote wahitimu, wanaoendelea na masomo vyuoni na vijana wote wenye nia na moyo na ujasiriamali...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wadau nauza incubator toka U.K, zipo za aina mbili,aina ya kwanza ina uwezo wa kutotolesha mayai 176 kwa wakati mmoja ambayo bei yake ni 550,000/= na nyingine ina uwezo wa kutotolesha mayai 24...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Vinanda vipya na adapter vinauzwa YAMAHA PSR-S600 bei 950,000 Tshs Kinafaa kwa matumizi ya kanisani na bendi pia Call 0758 401046 au niandikia giddy@mybridge.biz
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ni msambazaji wa simu za Nokia orijino kwa mara nyingine tena, tunapenda kuwatarifu wauzaji wa simu wa rejareja ya kuwa tumekuja na mfumo mpya wa uuzaji wa simu na ununuzi, usafiri kwa mara ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
iko katika hali nzuri sana make toyota model hilux body type .....pick up year of manufacture.....1989 fuel used disel bei ni milioni 11
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari wakuu kuna incubator inauzwa made in german ina spair zake kila kitu inauwezo wa kutotoresha mayai 1400 bei ni sh mil nne na laki nane tu. mwaka mmoja warrant sababu ya kuuzwa ni kutokuwa...
1 Reactions
2 Replies
996 Views
Kama kichwa cha habar kinavyosema. Nje ya mji kama nje ya mji wa Morogoro, Dodoma, Pwani au Mbeya au sehemu yoyote ila iwe inafikika kirahisi. Natanguliza shukrani..
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom