Nauza kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 3081 kilichopo Block F eneo la Mwangaza Dodoma jirani na reli usawa wa Martin Luther School kwa bei ya Sh. 8,000,000/= (terms 33yrs). Eneo hili lipo umbali wa kilometa sita toka Dodoma mjini. Aidha barabara katika eneo hili zimeshachongwa hivyo kuwezesha uingiaji na utokaji kwa urahisi. (kwa mawasiliano nipigie kwenye namba 0784-715619 au 0754-548430 au 0719-676614)