Unahitaji kufanya kilimo cha mazao/aina gani mkuu
ya chakula mf. Mahindi, maharage n.k.
hayo ya laki 1 yanauzwa au yanakodishwa?katika ununuzi,je serikali ya Mtaa inahusika au?
Kama kichwa cha habar kinavyosema.
Nje ya mji kama nje ya mji wa Morogoro,
Dodoma, Pwani au Mbeya au sehemu yoyote ila iwe inafikika kirahisi.
Natanguliza shukrani..
hayo mashamba yapo mkoa gani?...mkuu vipi kama bado unahitaji shamba sema niwambie vijana waje wakuonyeshe.zipo eka 100...
...mkuu vipi kama bado unahitaji shamba sema niwambie vijana waje wakuonyeshe.zipo eka 100...
...mkuu vipi kama bado unahitaji shamba sema niwambie vijana waje wakuonyeshe.zipo eka 100...
hayo mashamba yapo mkoa gani?
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us