Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa wale wanaohitaji viwanja vilivyopimwa Mbweni Dsm, ujazo ni sq m 1258 sq m 1100 sq m 950 na sq m 850 vyote vina hati kwa mawasiliano piga no 0773 944 944
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nahitaji set ya mashine za barkery, wapi naweza pata nzuri za kisasa hapa Dar.Wadau karibuni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam. Shamba la ekari 2 linauzwa eneo la sungwi bei ni tsh mil 6.. Kwa maelezo zaidi ni pm..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyumba inapangishwa maeneo ya Mbezi-malamba mawili. Ipo katika hali nzuri,ina vyumba vitatu,sitting room 1,na dinning room 1, ipo self container chumba kimoja vingine viwili vina vyoo vya ndani ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Laptop DELL INSPIRON N5050 inauzwa ipo katika hali nzuri kabisa (used for 1 month). SPECIFICATION: RAM 2GB, HDD 500GB, PROCESSOR 1.6GHZ, WEB CAM NA WIRELESS FEATURES. Bei ni Tsh 450,000 (Haina...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Nyumba zote hizo mbili zipo katika viwanja vinavyopakana. kiwanja kimoja kina ukubwa wa mita za mraba 303 na kingine 337. Viwanja vyote vina hata miliki. Bei ya jumla ya kuuzia nyumba zote hizo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bei Tsh 170,000
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Website :Kitomai Property and Real Estate | Tanzania Leading Online Property Listing Address :Block/Plot No 829, Upanga. Description : We specialize in locating for you a property...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inauzwa Tzs 6.8M tu. Only serious buyers call 0754666555
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wadau nina generator yenye uwezo wa welding kwa hapohapo naikodisha ambayo inatumia diesel
0 Reactions
1 Replies
908 Views
Naombeni gharama ya kuazisha biashara ya duka kubwa za vitu vya kawaida za matumizi ya binadam
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HTC ONE FULL BOXED for ONLY 1235,000/=tshs HTC ONE X FULL BOXED for ONLY 555,000/=tshs HTC ONE S FULL BOXED for ONLY 455,000/=tshs HTC ONE X FULL BOXED for ONLY 375,000/=tshs Few peaces...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wana jf Naombeni mwenye kuweza kunielekeza jinsi ya kuunganisha blackberry torch internet kwa tigo. natanguliza na shukrani zangu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ipo ktk hali nzuri...nimeitumia miezi 6, bei ni 75,000 (negotiable) kwa alie tayari ani check 0783181838. Nitakuja ulipo kwa anaeishi Dsm. Ahsante. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ipo in gud condtion, java apps, Qwerty with touch keypad. Price 100,000. And can be negotiable. Contacts 0712202009
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi,nauza eneo langu lipo kimara matosa urefu ni mita 35 na upana mita 30 kwa shilingi mil7.Cont.0686581661
0 Reactions
3 Replies
2K Views
offices and warehouse for sale or rent square meter 4200 located at mbezi beach tangibov bovu near rainbow. for rent USD 6000 per month. for sale USD 1200000. for more details or visit...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Pata biblia na Quran za kusikiliza (audio) katika lugha mbalimbali za kitanzania : Biblia zipo katika Lugha zifuatazo:- 1. KISWAHILI 2. KICHAGGA 3. KISUKUMA 4. KIGOGO 5. KINYAMWEZI 6. KINYAKYUSA...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wapendwa, Tunatafuta mtu au taasisi ya kuikopesha kampuni yetu fedha kwa ajli ya kutoa mikopo kwa kuzingatia ukuaji na ulengwa wa jamii (Social Performance). Tuna effective demand kubwa sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika DVD hii, Robert Kiyosaki ,mwandishi wa kimataifa wa Rich Dad Poor Dad anazungumza kuhusu jinsi matajiri wanavyotumia biashara ya kujenga utajiri. Baadhi ya pointi za Kujifunza kutoka hii...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Back
Top Bottom