Stanbic Lrekebisheni Utaratibu mlioweka

Stanbic Lrekebisheni Utaratibu mlioweka

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
StanBic utaratibu mlio weka mwezi huu unatutesa. tunalala njaa , check inaletwa tarehe 18 ili wafanyakazi tarehe 21 tuwe tumepata mshahara mpaka sasa mshahara bado, wengine hatuna pesa. mnasema mara check iende cjui wapi , utaratibu huu ukiendelea nahama.
 
wajanja walishahama
 
Eh basi ajabu za kwetu ni papo papo fasta,hakunaga kama Stambic
 
Back
Top Bottom