Natanguliza shukrani na nnatambua uwepo wenu hapa ndani,na ni matumaini yangu kwamba mtanisaidia.
Napenda kujua bei ya hizi gari(imported price)siyo zilizopigwa vumbi la barabara za bongo...
ni gari nzuri sana ya mwaka 2002 imeendeshwa kwa matunzo makubwa sana ni nzuri kweli. NA imeendeshwa kwa mwendo mfupi sana. bei ni sh 12.5m
kwa atakayehitaji
0782898210
0713507487
0767507487
Kwa anayehitaji,nauza kiwanja,kiko mbezi-tangibovu(samaki),kina hati halali,fence,maji na umeme-tshm 280 million but negotiatable.serious buyers naomba mni pm,kabla ya kununua,mnunuzi atapewa copy...
Msaada ,natafuta wapwa zangu ,Suzy na Rega Zacharia ,mmoja kamaliza mwaka jana kdato cha nne hapo Itumbili secondary .kwa mwenye kujua au kuwa na taarifa zao anisaidie au yeyote yule mwenye kuwa...
kuna mtandao wa kijapani nimezikuta kwa bei hizi in total prices.
1.ISUZU WIZARD:
YEAR :2000
ENGINE SIZE 3,190CC.
TOTAL PRICE $3,500
2.TOWNACE NOAH:
YEAR: 1998
ENGINE SIZE :1990
TOTAL...
-only 2 months used photocopy machine
-performed light duties during its operation (number of copies produced can be seen)
-it has no any mechanical problem
-reason of sell: Change of...
Laptop DELL INSPIRON N5050
inauzwa ipo katika
hali nzuri kabisa (used for 1 month).
SPECIFICATION: RAM 2GB, HDD
500GB,
PROCESSOR 1.6GHZ, WEB CAM NA
WIRELESS
FEATURES.
Bei ni Tsh 450,000 (Haina...
Natafuta sehemu ambayo nitanunua mbwa wazuri, hususani natafuta Alano espanol breed. Sio kama wa pale victoria, mbwa wenye matunzo mazuri na breed nzuri. Kama kuna mtu anafaham naomba anaijuze. Thanx
5 doors,
2 wheels driving
109475 millage
Namba za usajili T1**AG*
Ipo katika hali nzuri.
Bei 15M
Simu namba 0687 661616,napatikana Kinondoni Moroko, Dar es Salaam.
Picha nimeambatanisha...
Milango ya Mninga pamoja na frame zake inauzwa kwa bei Poa.
BEI; 270,000 (pamoja na frame yake)
LOCATION: Mwenge (Dar es Salaam)
CONTACTS; 0789 427831 Or PM.
Ndugu zangu baada ya kuzichanga sana nimeamua kununua gari double cabin kwa kujiandaa kustaafu. Katika pita pita yangu nimeona gari aina hiyo kutoka uingereza likiuzwa £7,995. Naomba kujua...
Habari wanaJF nawapenda sana.
Tukiwa kama watu tunaosaidiana katika mawazo mengi ya kujengana, mimi mdogo wenu na wengine kaka yenu nina ombi kwenu, natafuta framu ya biashara ambayo nitaweza...
Wadau wa Shock Absorber mnakaribishwa!
Bei ni kama zinavyoonekana hapo chini.
KYB No.
Description
MOQ
Unit price (FOB Shanghai/USD)
343039
shock absorber fit TOYOTA, Rear
100pcs
$7.20...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.