Mzalendowetu
Member
- May 22, 2012
- 87
- 36
Nyumba inauzwa. Ipo Chanika Msumbiji karibu na barabara kuu ya daladala. Kiwanja kina ukubwa wa 25 kwa 16 na pia kina hati ya Serikali ya mtaa. Nyumba hiyo haijakamilika ipo kwenye lenta.
Bei Sh 25,000,000/=. Maongezi yapo
Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa 0712867673
Bei Sh 25,000,000/=. Maongezi yapo
Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa 0712867673