Wadau gharama ya kununua kiwanja ambacho hakijapimwa ni kubwa mno ikiwemo kubomolewa nyumba na kuambiwa
matumizi ya hapo ulipojenga siyo makazi na hapawezi kupimwa.
Hivyo basi tumeamua kuwaletea...
Habari za leo wanajamvi?
Naomba msaada wa kupata Msichana wa Kazi wa Uhakika.
Mshahara ni maelewano, ila inaweza hata kufikia Tshs. 50,000, inategemea na uzoefu na ufanyaji wa kazi.
Kituo cha...
Je unatafuta watu wa kukuandalia katika shughuli yako?..Unatafuta chakula kitamu lakini hujui wapi pa kuanzia? ...Kwa mahitaji ya huduma ya vyakula,vinywaji katika shughuli mabalimbali kama...
Wakuu haya yote yana umiliki wangu. Hakuna dalali. Nimekamatika nahitaji kujikwamua. Jichagulie ni ipi unataka then ni PM. Ukitaka yote au mawili nakupa bei ya fungu.
Wakuu nimezoea kuona haya madilisha ya aluminium ya rangi mbili nyeusi na nyeupe na hata kama utaona rangi tofauti kwa watengenezaji hazipo kama kuna mtu anafanya hii kazi na yupo mwanza...
:clock:
Wapendwa wafanyabiashara wenzangu, ninaomba mtu awayeyote yule atakayekuwa ana laini ya TIGOPESA na anataka kuiuza kwa mtu au amesikia mtu anauza laini hiyo aniuzie mimi
Namba zangu ni...
Mitsubishi Pajero Short Chasis, inauzwa kwa bei ya sh. Million 7.5. Inatembea niko kwenye hali nzuri. Tatizo ililonalo ni la Umeme tu. Specifications: Deasel engine, Manual transmission, short...
WanaJF natumai ni watu walioenda Shule na wenye Pro zao, yyt mwenye Dili anitonye linalohusu MECHANICS, DRILLING(MGODINI), au MARKETING RESEARCH OPPORTUNITIES, nilikuwa napiga kazi Mgodini NORTH...
Lina ekari 30,lipo along barabara ya Mkuranga-Kisarawe Road,100 mita kutoka shamba la Mama Salma kikwete.Umeme ushafika kijijini Hoyoyo.Linafaa kwa kuweka shule,yadi au kiwanda na kwa watu wa Real...
Natafuta chumba cha kupanga, kinondoni, sinza, maeneno ya mwenge, na msasani. kiwe masterroom, hali nzuri, kinafikika kwa urahisi na kisiwe uchochoroni.Kuna mdau bachelor anahamia dar hivyo...
Wadau,
Photocopy mpya kabisa INAUZA,hutajuta kununua..Imetumika miezi 3 tu...bei ni 1.5 m,nauza kwa sababu nabadilisha biashara.
Kama unaitaka piga 0767205419.
Mahali ilipo;Ubungo Dar es saalam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.