Kwa yeyote anayehitaji Tofali za Paver, mafundi wa kutengeneza na kujenga paving iwe ni nyumbani au ofisini, unaweza kupata huduma hiyo kutoka kwenye kampuni yetu ya DOVE & COMPANY LTD kwa simu...
Below are some of the ways to make money online. Anybody with specificexperience/expertise may kindly share his experience.
1.Domain parking- it involves you buying domains then leaving them...
Nina passion sana na mambo ya urembo na modelling..mavazi na vitu vinavoendana na urembo..mwenye clue where i could get a modelling agency anisaidie wadau.muwe na mchana mwema.
Habarini ndugu, nauza SONY HYBRID, MODEL BDR DVD610E,(unaweza google kama huijui vizuri) haina charge wala cable yake yoyote, imetumika mezi 1 tu! bei laki 7 maelewano yako pia!
karibu sana !!!
Ukubwa wa haya mashamba maelozo yake nihaya hapa chini.
Kwa maelezo zaidi piga simu 0765 828 854
1)ukubwa wa shamba 20 kwa 24
2)ukubwa wa shamba 20 kwa 20
Habari wanajamvi.
Sina hakika kama hii ndio forum sahihi kwa ombi langu, km sivyo mniwie radhi. Mm nina shida moja ndogo. Naomba kufahamishwa kuhusu gari ya kununua. Mkononi nina milioni nane...
Naombeni kufahamishwa endapo kuna dawa au tiba kamili kwa jino nje ya kung'oa.
Ninagalagala sakafuni ile mbaya hino halitulii kabisa awali nilitumia DFP lakini maumivu yamechipuka tena. Ni jino...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.